PAGE D ACCUEIL SWAHILI MAISHA YANGU ÉVANGÉLISATION ÉDUCATION SOINS MÉDICAUX DÉVELOPPEMENT M ÉDAILLES D HONNEUR M IKEREREZI
INGILIO SEHEMU YA KWANZA SEHEMU YA PILI SEHEMU YA TATU SEHEMU YA INNE SEHEMU YA TANU HATIMAYE DR.
BULANGALIRE RUHIGITA
HATIMAYE...
More

HATIMAYE
Conclusion
57
Katika ile myaka yote tulimtumikia Mungu, tulijengwa na kufarijiwa na mambo haya :
1.
Kuona vile kazi ya Mungu ilivyoota na kusonga mbele, kila mwaka.
Watu wengi walipokea Bwana yesu Kristo kuwa Mwokozi wao, mkombozi, Bwana
Mfalme wao.
Tena wengi wao walipokea ubatizo kwa Roho Mtakatifu.
2.
Bwana Yesu alizibitisha neno lake kwa ishara mingi : wagonjwa waliponywa kwa wingi hasa wenye pepo chafu waliwekwa hum na yesu Kristo.
3.
Wale walioamini uchawi, tena wakubwa wa kazi hizo waliokoka na kupokea wokovu.
4.
Uamsho uliingia kwa mashule yetu nafasi mingi hadi kw Universtité za Zaire kulitokea cellule za maombi.
Vijana wanajitowa kwake Mungu.
Katika
wanasheria (Avocats) watatu waliokoka na wanaendelea kulishuhudiya ji
Less