PAGE D ACCUEIL SWAHILI MAISHA YANGU ÉVANGÉLISATION ÉDUCATION SOINS MÉDICAUX DÉVELOPPEMENT M ÉDAILLES D HONNEUR M IKEREREZI
INGILIO SEHEMU YA KWANZA SEHEMU YA PILI SEHEMU YA TATU SEHEMU YA INNE SEHEMU YA TANU HATIMAYE DR.
BULANGALIRE RUHIGITA
RUHIGITA...
More

RUHIGITA NDAGORA BUGWIKA
MAISHA YANGU
Publication de Sadi Asbl 180 Av.
Lumumba BP.
200 Bukavu-RDC
INGILIO
Labda katika ka maïsha yako ulipata kusikia habari juu ya muchungaji Ruhigita.
Mujengaji wa maendeleo uko kwa Afrika ya kati, alimtumikiya Mungu
maïsha yake yote.
Serikali ya inchi yake ilimuechimu ingawapo hata siku moja akuingia katika mambo ya siasa.
Wakubwa wa inchi yake walifika kupata
shauri kwake na hata kabla ya kuhamishwa alipokeya médaille kubwa en titre postume kama mtu aliyefanya mengi kwa ajili ya inshi yake.
Watu wa Congo wânamuechimu sana.
Wengi walipata kujifunza, kutunzwa ki mwili na kiroho ao kupata hekima kutoka miradi mbali mbali aliyoiunda.
Maïsha yake yote alipigania haki, maendeleo na ukombozi wa Africa na ya waa
Less